forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
489 B
Markdown
17 lines
489 B
Markdown
# Kisha mwanamke Msamalia akamwambia
|
|
|
|
Neno "akamwambia" linamaanisha Yesu.
|
|
|
|
# Inawekanaje wewe uliye Muyahudi unaomba maji ya kunywa?
|
|
|
|
Hili neno linaonekana katika muundo wa swali kuonesha mshangao wa mwanamke kwa Yesu kuomba maji. "Siamini kama wewe uliye Muyahudi unamwomba mwanamke Msamalia maji!"
|
|
|
|
# hamchangamani na
|
|
|
|
"hamchangamani na."
|
|
|
|
# maji ya uzima
|
|
|
|
Yesu anatumia mfano "maji ya uzima" kumaanisha Roho Mtakatifu ambaye anafanya kazi ya kumbadilisha mtu na kuleta maisha mapya.
|
|
|