forked from WA-Catalog/sw_tn
641 B
641 B
Tazama
Neno hili linaongeza msisitizo kwa jambo linalofuata.
Walikwenda juu
Hawa ni wavamiaji toka kaskazini.
Kama simba
Hii ni jina nyingine ya kusema kuwa uvamizi ulikuwa wa nguvu na usiotarajiwa.
Kwa haraka nitawafanya waikimbie
Hapa wanazungumziwa watu wa Babeli ambao watawakimbia wavamizi.
ambaye atachaguliwa
"ambaye nitamchagua"
Nani kama mimi, na nani atakayeniita?
Bwana anatumia swali kuonesha udogo wa mwanadamu. "Hakuna kama mimi, hakuna wa kuniamuru."
kuita
Kumuamuru mtu aje
Ni mchungaji gani atakayepambana na mimi?
Bwana anatumia swali kuonesha kuwa hakuna kiongozi wa kumpinga au kumshinda.