forked from WA-Catalog/sw_tn
632 B
632 B
maji yao
"maji" inawakilisha vyanzo vyote vya maji hasa mito inayopita kwenye mji.
Mbweha
Mbweha ni mbwa mwitu wanaopatikana Asia na Afrika.
Mbuni wataishi kwake
"mbuni" ni ndege mkubwa wa Afrika anayekimbia haraka lakini hawezi kupaa. Neno "kwake" linamaanisha Babeli.
Kwa muda wote hatakuwa mwenyeji. Kizazi hadi kizazi hakitaishi kwake.
Sentensi hizi zina maana inayofanana zikisisitiza kuwa Babeli haitakuwa na wenyeji kabisa.
Hataishi ndani yake
"hakuna atakayeishi kwake"
hakuna atakayeishi huko; hakuna atakayekaa kwake
Maneno haya yanamaana moja yakisisitiza kuwa Babeli haitakuwa na wenyeji kabisa.