Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.
"Wale wanaovuna zabibu huwa wanaacha baadhi kwenye mizabibu."
"Wezi wakija usiku, wataiba kwa kadiri wanavyohitaji"