Watu wa Kemoshi wameharibiwa
"Watu wa Kemoshi wameharibiwa na adui zao"
Kemoshi
"Kemoshi" ni mungu mkuu wa Wamoabu. Hapa Kemoni inawakilisha taifa la Moabu.
siku zijazo
Hizi ni siku za wakati ujao, zilizoitwa "siku za mwisho."
Analosema Bwana
"alilosema Bwana"