Kaa katika nchi kavu, ewe binti unayeishi Diboni
Neno "binti" limetumika kuwaelezea watu wa Diboni.
ambaye ataharibu Moabu
"adui wa watu wa Moabu"
Waulize ambao
"waulize watu" au "waulize wanawake na wanaume"
Lia na kuomboleza
"lia kwa nguvu kwa maumivu na hasira"