nitaelekeza uso wangu dhidi yenu
"kuamua kuwa kinyume nao"
wataanguka
Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa watakufa.
Kwa upanga
Vita inaelezwa kwa kutumia silaha inayotumiwa mara nyingi na askari.
Toka mdogo mpaka mkubwa
Watu wote wasiokuwa na maana na wenye heshima katika jamii.