Taarifa ya jumla:
Tazama: uandishi wa shairi.
Yohana ... Karea ... Yezania ... Hoshia
Haya ni majina ya watu.
watu wote toka kuanzia wadogo mpaka wakubwa
Hii inaonesha kuwa ni watu toka katika madaraja yote.
Maombi yetu yakubaliwe mbele yako
"tuyawakilishe maombi yetu mbele yako"