sw_tn/jer/40/11.md

476 B

Wayahudi wote

Watu wote wa Yuda

Kati ya watu wa

"watu wote wa Yuda kati ya watu wa Amoni."

mabaki ya Yuda

"mabaki ya watu wa Yuda"

alimchagua ... juu yao

"alimuweka ... kuwa juu yao"

Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani

Haya ni majina ya watu.

juu yao

"juu ya watu wa Yuda"

ambako wametawanywa

"ambako Babeli waliwapeleka"

divai na matunda ya jua kwa wingi

"kiasi kikubwa cha zabibu na matunda ya jua"

matunda ya jua

Matunda ya msimu.