sw_tn/jer/40/01.md

17 lines
420 B
Markdown

# Haya ni maneno yaliyokuja kwa Yeremia toka kwa Bwana
"haya ndiyo aliyoyasema Bwana kwa Yeremia"
# Nebuzaradani, kiongozi wa askari wa mfalme
Nebuzaradani aliyekuwa kiongozi wa askari wa mfalme.
# Hapo ndiko alikopelekwa Yeremia na alipokuwa amefungwa minyororo
"Hapo ndipo askari wa Babeli walipompeleka Yeremia na kumfunga minyororo"
# waliotakiwa kupelekwa uhamishoni Babeli
"ambao askari waliwatuma Babeli"