Wanaoutafuta uhai wao.
"Wanaotafuta kuwaua."
Hili ni tangazo la Yahwe.
Tangazo la Yahwe ambalo Yahwe ametangaza; au ni kile ambacho yahwe amessema
Ambayo yameinuka dhidi yenu.
"Yamekuja kupigana dhidi yenu."
Na nitawarudisha.
Hapa neno "wao" linamaana ya majeshi ya adui wa taifa la babeli.