forked from WA-Catalog/sw_tn
9 lines
308 B
Markdown
9 lines
308 B
Markdown
# Watu.
|
|
|
|
Hapa hii inawataja watu wa Yuda.
|
|
|
|
# Yahwe akubariki, wewe sehemu takatifu ambapo anaishi, ewe mlima mtakatifu.
|
|
|
|
Yerusalemu iko juu ya mlima, na hekalu lilijengwa kwenye kilele cha kilima hicho katika Yerusalemu. "Yahwe awabariki wanaoishi pamoja naye katika Yerusalemu, mahali lilipo hekalu lake."
|
|
|