forked from WA-Catalog/sw_tn
698 B
698 B
Angalia
"kusikiliza" au "kuwa makini na kile ninachokuambia"
hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
mahali hapa hapataitwa tena
"watu hawataita tena mahali hapa"
Tofethi....bonde la Ben Hinomu....bonde la machinjo
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 7:31.
Nitawafanya wapate kuuawa kwa upanga mbele ya adui zao
"Nitawafanya maadui wao kuwaua kwa mapanga"
kwa mkono wa wale wanaotafuta maisha yao
Maneno haya yanamaanisha kimsingi kitu kimoja kama maneno ya awali. AT "Nitawawezesha wale ambao wanataka kuwaua kuwaua"
milele
"S" sauti, ambayo inaonyesha kukataa kwa nguvu.
Nitawafanya kula
"Nitawafanya watu wanaokaa Yerusalemu kula"