forked from WA-Catalog/sw_tn
901 B
901 B
utakuwa kama kinywa changu
Yeremia anafananishwa na kinywa cha Bwana kwa sababu atatumiwa kuzungumza ujumbe wa Yahweh. AT "utasema kwa ajili yangu"
wewe mwenyewe
Kitaja, "mwenyewe", kinatumiwa hapa ili kusisitiza amri ilikuwa hasa kwa Yeremia.
kama ukuta wa shaba usiowezekana kwa watu hawa
Bwana anafananisha Yeremia na ukuta kwa sababu watu hawawezi kumshinda.
watapigana vita dhidi yako. Lakini hawatakushinda
"Watapigana nawe, lakini hawatakushinda."
kuokoa......kuwaokoa
Maneno "kuokoa" na "kuwaokoa" yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza usalama ambao Mungu anaahidi.
hili ndilo tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 7.
kukuokoa kutoka ... na kukukomboa kutoka
Maneno haya yana maana sawa na hutumiwa pamoja ili kusisitiza usalama ambao Mungu hutoa.
mshindani
mtawala ambaye anadai utii kamili na si wa kirafiki kwa watu chini ya utawala wake