forked from WA-Catalog/sw_tn
423 B
423 B
Taarifa za jumla
Yelemia anaongea na Bwana.
Unikumbuke
"Kumbuka mimi" au "Fikiria mimi na hali yangu"
wafuasi wangu
"wale wanaonitafuta kunidhuru"
Katika uvumilivu wako usiniondoe.
"Tafadhali usiendelee kuwavumilia na usiruhusu nife sasa."
Maneno yako yamepatikana
Nimesikia ujumbe wako.
Niliwaangamiza
Nilielewa ujumbe wako
jina lako limetangazwa juu yangu
watu walinitambua kuwa ni mmoja wenu