sw_tn/jer/09/17.md

709 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anawaambia watu wa Yuda kuomboleza kwa ajili ya uharibifu wa nchi ujao.

Waiteni waliaji; waje. Tumeni wanawake wenye taaluma ya kuomboleza juu yetu, waje.

"Tafuteni wanawake waliofunzwa kuomboleza na muwaleta wanawake hao hapa."

Waiteni waliaji

"Waiteni wanawake wenye taaluma ya kulia"

waje

"waambieni wanawake waje"

Tumeni wanawake wenye taaluma ya kuomboleza

"Temeni watu waende kuwatafuta wanawake wenye taaluma ya kuomboleza."

Waje haraka waimbe wimbo wa maombolezo juu yetu.

"waambieni wanawake waje haraka na waimbe wimbo wa kuomboleza kwa ajili yetu"

ili kope zetu zitokwe na machozi na macho yetu yabubujikwe na maji

"ili kwamba tulie kwa bidii"