forked from WA-Catalog/sw_tn
744 B
744 B
Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuwakumbusha wa Yuda jinsi watu wa Israeli walivyoasi
kwa kufuata mipango yao ya uasi ya mioyo ya maovu
"kwa kufuata mipango yao kwa sababu walikuwa waovu na wasumbufu
kwa hiyo walirudi nyuma badala ya kuendelea mbele
"kwa hiyo walikataa kunisikiliza mimi, badala ya kunisikiliza kwa makini"
watumishi wangu
"watumishi wangu wote
Niliendelea kuwatuma
"kwa bidii niliwatuma kila siku"
manabii wangu, kwenu
neno "kwenu" linamaanisha watu wa Yuda na mababu zao wote.
Hawakunisikiliza
neno "ha" linamaanisha watu wa Israeli walioishi tangu mababu zao kutoka Misri.
walishupaza shingo zao
"kwa ukatili walikataakunisikiliza"
waikuwa waovu zaidi
"kila kizazi kilikuwa cha uovu"