forked from WA-Catalog/sw_tn
342 B
342 B
katika siku hizo
Kirai "siku hizo" kinamaanisha wakati ambapo hilo taifa litakuja kuwavamia watu wa Israeli.
asema BWANA
Tazama 1:7
sikusudii kuwaharibu
"sitawaangamiza"
itatokea kwenu
"itakapotokea kwamba .."
haya yote
BWANA atatuma jeshi geni kuiangamiza Israeli.
kuabudu miungu migeni
"kuwatumikia miungu migeni"