forked from WA-Catalog/sw_tn
853 B
853 B
Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea
Nenda hadi kwenye shamba lake la mizabibu
Pandeni juu ya kuta zake. "BWANA anaulinganisha mji wa Yerusalemu na na shamba la mizabibu ambao una ukuta unaozunguka.
Panden juu
BWANA anawaambia adaui za watu wanaoishi Yerusalemu
msiwaharibu kaisa
"msiiwaangamize kabisa"
Ondoeni matawi kwa sababu hayatoki kwa BWANA
"Waondoeni watu wote waovu kwa sababu hawatoki kwa BWANA"
Kwa sababu ya nyumba za Yuda na Israeli
Kwa ajili ya watu wa Israeli na Yuda
Asema BWANA
Tazama 1:7
wamenikataa
"wamedanganya juu yangu"
Yeye si halsi
"Hawezi kufanya mambo haya
Maovu ahayawezi kutupata, wala hatutaona upanga wala njaa
Virai hivi viwili vunaongelea jambao moja tu, jamabo la pili liko wazi zaidi kuliko la kwanza.
wala hatutaona upanga wala njaa
"hatutakuwa na vita wala njaa"