forked from WA-Catalog/sw_tn
402 B
402 B
Kwa hiyo ... ya Mto Frati?
Msisafiri kwenda Shihorikufanya ushirika na watawala wa Misri. Msisafri kwenda Frati kufanya ushirika na Ashuru!
Shihori
Ni mpaka wa Kanaani uliio kusni magharibbi ya Kanaani, kwenye mto uliokauka.
Uovu wako unakukukemea na maasi yako yatakuadhibu.
"Kwa sababu umekuwa mwovu na mwasi, Nitakuadhibu."
ni uovu na uchungu
"ni uovu uliokithiri"
hofu
hofu kuu