forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
474 B
Markdown
13 lines
474 B
Markdown
# ndugu yao Benyamini.
|
|
|
|
"ndugu yao Benyamini" inamaanisha uzao uliobaki wa Benjamini.
|
|
|
|
# kabila moja limekatiliwa mbali kutoka Israeli
|
|
|
|
Kuharibiwa kwa kabila la Benyamini kunafananishwa na kukatiliwa mbali kutoka katika Israeli.
|
|
|
|
# Ni nani atakayewapa wale walioachwa wake, kwa kuwa tumeahidi kwa Bwana kwamba hatuwezi kuwaruhusu yeyote kati yao aoe binti zetu?
|
|
|
|
Waisraeli walitaka kuwapa wake Wabenyamini waliosalia lakini ahadi waliyoiweka Mispa iliwazuia kufanya hivyo.
|
|
|