forked from WA-Catalog/sw_tn
9 lines
419 B
Markdown
9 lines
419 B
Markdown
# Watu wa Israeli wakasema, "Ni nani kati ya kabila zote za Israeli hawakuja katika mkutano wa Bwana?
|
|
|
|
Watu wanaukumbuka mkutano wa Waisraeli kule Mispa kabla ya kuwakamata Wabenyamini.
|
|
|
|
# Kwa kuwa walikuwa wamefanya ahadi muhimu juu ya mtu yeyote ambaye hakuja kwa Bwana huko Mispa. Wakasema, "Hakika yeye atauawa."
|
|
|
|
Mwandishi anaeleza ahadi ambayo Waisraeli waliifanya huko Mispa kabla hawajakamatwa na Wabenyamini.
|
|
|