sw_tn/jas/02/12.md

21 lines
421 B
Markdown

# Kwa hiyo zungumzeni na kutii
"hivyo mnatakiwa muongee na kufanya" Yakobo aliwaamuru watu kufanya hivi.
# mko karibu kuhukumiwa na sheria ya uhuru.
"Mungu atawahukumu lwa sheria ya uhuru"
# Kwa sheria
Mungu atawahukumu kulingana na sheria
# Sheria ya uhuru
"Sheia inayotoa uhuru wa kweli"
# Huruma hujitukuza juu
"Huruma ni bora kuliko" au "huruma inashinda" Hapa huruma na haki vimezungumwa kama vile ni mtu.