sw_tn/isa/66/06.md

9 lines
233 B
Markdown

# Yahwe anafafanua adhabu kwa unafiki wa wanaoabudu.
Yahwe anafafanua adhabu kwa unafiki wa wanaoabudu.
# Sauti ya ghasia ya vita
Sauti inawakilisha ugomvi wa kweli ambao unaendelea katika hekalu wakati Yahwe anatekeleza adhabu.