forked from WA-Catalog/sw_tn
9 lines
366 B
Markdown
9 lines
366 B
Markdown
# Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni kigoda cha miguu yangu
|
|
|
|
Yahwe analinganisha mbingu kwa kiti cha enzi na dunia kwa kigoda cha miguu kusisitiza jinsi alivyo mkuu.
|
|
|
|
# nyumba utakayoijenga kwa ajili yangu iko wapi basi? Sehemu nayoweza kupumzika iko wapi?
|
|
|
|
Yahwe anatumia maswali kusisitiza ya kuwa wanadamu hawawezi kujenga sehemu kwa ajili yake kuishi.
|
|
|