sw_tn/isa/62/10.md

17 lines
667 B
Markdown

# Njoo upite, njoo upite katika malango
Msemo "njoo upite" unarudiwa kuonyesha uharaka.
# Ijenge, Ijenge njia
Neno "jenga" linarudiwa kusisitiza ya kwamba Yahwe anataka kwa uharaka barabara kuandaliwa. "Njia" inawakilisha njia ambayo watu watarudi. Hii ni sawa na 40:3 na 57:14.
# Kusanya mawe
"Chukua mawe kutoka barabarani kuifanya iwe laini. Mawe yanawakilisha vipingamizi vyote vya safari kuwa haraka.
# Nyanyua ishara ya bendera kwa ajili ya mataifa
Bendera ya ishara inawakilisha kitu kuvuta nadhari ya wengine. Hii ina maana Yahwe anawaita watu wa mataifa mengine kugundua nchi ya Israeli na kuona kile Yahwe alichofanikisha kama alivyosema angefanya.