forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.1 KiB
Markdown
33 lines
1.1 KiB
Markdown
# akatuma ujumbe
|
|
|
|
Hii ina maana ya kwamba alituma mjumbe kutoa ujumbe kwa mfalme. "alimtuma mtu kutoa ujumbe"
|
|
|
|
# ni neno ambalo Yahwe amenena
|
|
|
|
"ni kile Yahwe ambacho alisema"
|
|
|
|
# anakucheka kwa kubeza
|
|
|
|
"anakucheka" au "kukudhihaki"
|
|
|
|
# anatikisa kichwa chake
|
|
|
|
Hii ni ishara ya dharau.
|
|
|
|
# Binti bikira wa Sayuni ... binti wa Yerusalemu
|
|
|
|
Hizi ni lahaja. Misemo hii miwili ina maana moja. "binti" wa mji ina maana watu ambao wanaishi katika mji huo. "Watu wa Sayuni ... watu wa Yerusalemu"
|
|
|
|
# Ni nani umemkataa na kumtukana? ... Dhidi ya Mtakatifu wa Israeli
|
|
|
|
Yahwe anatumia maswali haya ya balagha kumkejeli mfalme wa Ashuru. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Umemkataa na kumtukana Yahwe, umepiga kelele na kutenda kwa kiburi dhidi ya Mtakatifu wa Israeli!"
|
|
|
|
# umeinua sauti yako
|
|
|
|
Hii ina maana ya kuongea kwa sautii kana kwamba sauti ya mtu ilikuwa kitu ambacho walikiinua juu. "je! umepiga kelele"
|
|
|
|
# kuinua macho yako kwa kiburi
|
|
|
|
Hii ni lahaja ambayo ina maana ya kutazama kitu kwa kiburi, kujichukulia muhimu zaidi kuliko unavyotakiwa. "kutazama kwa kiburi" au "alitenda kwa kiburi"
|
|
|