forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
759 B
Markdown
25 lines
759 B
Markdown
# Lakishi
|
|
|
|
Huu ni mji kusini magharibi mwa Yerusalemu.
|
|
|
|
# Senakeribu
|
|
|
|
Hili ni jina la mfalme wa Ashuru.
|
|
|
|
# Libna
|
|
|
|
Huu ni mji kusini mwa Yuda.
|
|
|
|
# Tirhaka mfalme wa Ethiopia na Misri wamehasamisha kupigana dhidi yao
|
|
|
|
"Tirhaka" ni jina la mwanamume. Aliwahamasisha jeshi lake ili wawe tayari kupigana. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "Tirhaka mfalme wa Ethiopia na Misri alihamasisha jeshi lake"
|
|
|
|
# kupigana dhidi yake
|
|
|
|
Neno "yake" inawakilisha Senakeribu. Msemo huu una maana ya kupigana dhidi ya jeshi la Senakeribu"
|
|
|
|
# Yerusalemu haitatolewa katika mkono wa mfalme wa Ashuru
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. Neno "mkono" lina maana ya nguvu ya kijeshi ya mfalme. "Mfalme wa Ashuru na jeshi lake halitakushinda katika Yerusalemu"
|
|
|