forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
682 B
Markdown
25 lines
682 B
Markdown
# Yule anayetembea
|
|
|
|
Hapa kutembea ina maana ya kuishi. "Yule ambaye anaishi"
|
|
|
|
# yule ambaye hudharau ongezeko la mali kwa dhuluma
|
|
|
|
Msemo wa nomino "ongezeko la mali kwa dhuluma" linaweza kuelezwa kama msemo wa kitenzi. "yule ambaye huchukia utajiri unaotokana na kudhuru watu wengine"
|
|
|
|
# na haangalii uovu
|
|
|
|
"Kutazama" hapa ina maana ya kuidhinisha jambo. "na yule ambaye hakubaliani na kutenda uovu"
|
|
|
|
# vilele
|
|
|
|
Hii ina maana ya kilima ch juu au upane wa mlima. "kilima cha juu" au "upande wa mlima"
|
|
|
|
# ngome za miamba
|
|
|
|
Hii inazungumzia maeneo ya mawe ambayo ni rahisi kujilinda kana kwamba ilikuwa ngome kihalisia. "rundo kubwa la mawe"
|
|
|
|
# itatolewa bila kikomo
|
|
|
|
"itakuwepo daima"
|
|
|