sw_tn/isa/11/16.md

9 lines
204 B
Markdown

# Kutakuwa na njia
Njia ni barabara kubwa ambayo watu wengi wanaweza kusafiri juu yake."Yahwe atafanya barabara"
# katika ujio wao kutoka katika nchi ya Misri
"walipokuja kutoka katika nchi ya Misri"