forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
722 B
Markdown
13 lines
722 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Isaya anaendelea kuelezea kipindi ambapo Mungu atawaokoa watu wa Israeli. Ingawa matukio haya yatatokea katika siku za usoni (9:1), Isaya anayafafanua kana kwamba yamekwisha tokea. Hii inasisitiza ya kwamba yatatokea hakika.
|
|
|
|
# Umezidisha taifa; umeongeza furaha yao
|
|
|
|
Neno "umezidisha" ina maana ya Yahwe. Neno "yao" ina maana ya watu wa Israeli, lakini Iisaya anajijumlisha kama sehemu ya Israeli. "Bwana, utaongeza sana watu wetu na furaha yetu"
|
|
|
|
# Wanafurahi mbele yako kama furaha ya kipindi cha mavunno, kama wanamume wanavyofurahi wanapogawana nyara zao
|
|
|
|
"Watafurahi mbele yako kama watu wanavyofurahi wanapokusanya mazao yao au pale vita inakamilika na wanajeshi kugawanya kiile walichochukua"
|
|
|