forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
801 B
Markdown
25 lines
801 B
Markdown
# Taarifa ya jumla:
|
|
|
|
Nabii Hosea anazungumza.
|
|
|
|
# Nchi ya Bwana.
|
|
|
|
Hii inaonesha kuwa Bwana anaendelea kuiona nchi ya Israeli kama mali yake na sio mali ya Waisraeli.
|
|
|
|
# Chakula kichafu.
|
|
|
|
Hiki ni chakula ambacho Waisraeli hawakula kwa sababu kiliwafanya wasikubalike kwa Bwana.
|
|
|
|
# Dhabihu zao zitakuwa kwao kama chakula cha matanga
|
|
|
|
Hapa "chakula cha matanga" ni chakula kinacholiwa wakati watu wanaomboleza kwa sababu hawajakubaliwa na Mungu. Hii inamaana kuwa Bwana hataiona dhabihu yao kuwa ni chafu na hata wakubali.
|
|
|
|
# Maana chakula chao kitakuwa chao pekee; hakitaingia nyumbani mwa Bwana.
|
|
|
|
Watu wa Israeli watakuwa na chakula lakini Bwana hataikubali kama dhabihu.
|
|
|
|
# hakitaingia nyumbani mwa Bwana
|
|
|
|
Chakula kichafu kimezungumzwa kama kitu kinachoweza kwenda chenyewe. Watu huwa wanaenda nacho.
|
|
|