sw_tn/hos/01/01.md

17 lines
334 B
Markdown

# Neno la Bwana lililofika
"Neno ambalo Bwana Mungu aslilisema"
# Beeri.
Hili ni jina la mwanaume.
# Uzia ... Yothamu ... Ahazi ... Hezekia ... Yeroboamu ... Yoashi
Matukio yaliyopo katika kitabu hiki yalitokea katika kipindi cha wafalme hawa.
# Ukahaba mkubwa
"ukahaba" inawakilisha watu wanavyokuwa sio waaminifu kwa Mungu.