forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
684 B
Markdown
25 lines
684 B
Markdown
# Taarifa kwa Ujumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kumjibu Habakuki.
|
|
|
|
# Angalia!
|
|
|
|
Neno "angalia!" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata.
|
|
|
|
# Yule ambaye anatamani hayuko sawa ndani yake ... kijana mwenye kiburi ... yeye hatastahimili, lakini hukuza hamu yake ... hukusanyika kwake mwenyewe ... anakusanyika kwaajili yake.
|
|
|
|
Yahwe anazungumzia Wakaldayo ingawa kama wako mtu mmoja. "Yeye" inarejerea kwa Wakaldayo ingawa kama wako mtu mmoja.
|
|
|
|
# Hukusanya kwake kila taifa na hukusanya kwaajili yake mwenyewe watu wote.
|
|
|
|
Hapa kinasemwa kitu kimoja katika namna mbili tofauti. "Anawakusanya watu wote kutoka kila taifa" (Angalia:
|
|
|
|
# Kusanya
|
|
|
|
leta pamoja
|
|
|
|
# kila ... wote
|
|
|
|
idadi kubwa sana
|
|
|