sw_tn/gen/48/19.md

25 lines
1001 B
Markdown

# Yeye naye atakuwa watu, naye pia atakuwa mkuu
Hapa "yeye" ina maana ya Manase, lakini inahusu uzao wake. "Mwana wako mkubwa atakuwa na uzao mwingi, nao watakuja kuwa taifa kubwa"
# siku hiyo kwa maneno haya
Hapa "maneno" ina maana ya kile kilichosemwa. "siku hiyo, akisema"
# Watu wa Israeli watatamka baraka kwa majina yenu wakisema
"Watu wa Israeli watazungumza majina yenu pale wanapowabariki wengine"
# kwa majina yenu wakisema, Mungu na akufanye kama Efrahimu na kama Manase
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "kwa majina yenu. Watamuuliza Mungu kuwafanya wengine kama Efraimu na kama Manase"
# kama Efrahimu na kama Manase
Israeli kusema jina la Efraimu kwanza ni njia nyingine anaonyesha ya kwamba Efraimu atakuwa mkubwa kuliko Manase.
# Israeli akamweka Efrahimu mbele ya Manase
Kumpatia Efraimu baraka kubwa na kumfanya awe wa muhimu kuliko Manase inazungumziwa kana kwamba Israeli amemuweka kihalisia wa mwili Efraimu mbele ya Manase.