sw_tn/gen/46/16.md

17 lines
377 B
Markdown

# Zifioni ... Hagi, Shuni ... Ezboni, Eri, Arodi ... Areli ... Imna ... Ishva, Ishvi ... Beria ... Heberi ... Malkieli
Haya ni majina ya wanamume.
# Sera
Hili ni jina la mwanamke
# Zilpa
Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea.
# Wana hawa aliomzalia Yakobo - kumi na sita kwa ujumla
Hii ina maana ya watoto 16, wajukuu, na watukuu ambao walikuwa na uhusiano na Zilpa.