forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
539 B
Markdown
17 lines
539 B
Markdown
# Nimechoka na maisha
|
|
|
|
Rebeka anatia chumvi kuweka msisitizo jinsi alivyofadhaishwa kuhusu mwanamke Mhiti ambaye Esau alimuoa. "Nimefadhaishwa sana"
|
|
|
|
# binti za Hethi
|
|
|
|
"hawa wanawake wahiti" au "vizazi vya Wahiti"
|
|
|
|
# kama wanawake hawa, baadhi ya binti za nchi
|
|
|
|
Msemo "binti wa nchi" ina maana ya wanawake wenyeji. "kama wanawake hawa wanaoishi katika nchi hii"
|
|
|
|
# maisha yatakuwa na maana gani kwangu?
|
|
|
|
Rebeka anatumia swali kuweka msisitizo jinsi atakavyofadhaishwa iwapo Yakobo atamuoa mwanamke Mhiti". "Maisha yangu yatakuwa mabaya!"
|
|
|