sw_tn/gen/27/01.md

29 lines
551 B
Markdown

# macho yake kuwa mazito
Hii inazungumzia kuhusu kuwa karibu na kupofuka kana kwamba macho yalikuwa taa na mwanga ulikuwa ukitoweka. "alikaribia kupofuka" au "kidogo apofuke"
# akamwambia
"Na Esau akajibu"
# Mimi hapa
"Nipo hapa" au "Ninasikiliza'
# Akamwambia
"Kisha Isaka akasema"
# Tazama hapa
Msemo wa "tazama hapa" unaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata. "Sikiliza kwa makini"
# Sijui siku ya kufa kwangu
Inasemekana Isaka anajua atakufa hivi karibuni. "Naweza kufa siku yoyote toka sasa"
# kufa
Hii ina maana ya kifo cha mwili.