forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
759 B
Markdown
29 lines
759 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na Isaka
|
|
|
|
# Nitauzidisha uzao wako
|
|
|
|
"Nitasababisha uwe na uzao mwingi"
|
|
|
|
# kama nyota za mbinguni
|
|
|
|
Hii inazungumzia kuhusu uzao wa Isaka kana kwamba walikuwa sawa na idadi ya nyota.
|
|
|
|
# mbinguni
|
|
|
|
Hii ina maana ya kila kitu juu ya dunia ikijumlisha jua, mwezi na nyota.
|
|
|
|
# mataifa yote ya dunia yatabarikiwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Nitabariki mataifa yote ya dunia"
|
|
|
|
# Abrahamu aliitii sauti yangu na kutunza maelekezo yangu, amri zangu na sheria zangu
|
|
|
|
Misemo hii "alitii sauti yangu" na "kutunza maelekezo yangu, amri zangu na sheria zangu" zina maana moja. "Abrahamu alinitii na kufanya kila kitu nilichomuamuru kufanya"
|
|
|
|
# aliitii sauti yangu
|
|
|
|
Hapa "sauti" ina maana ya Yahwe. "Alinitii"
|
|
|