sw_tn/gen/24/63.md

25 lines
770 B
Markdown

# Isaka akaenda kutafakari shambani jioni
"jioni moja Isaka alitoka shambani kufikiri". Hii inaweza kuwa muda mrefu baada ya mtumishi na Rebeka kuondoka nyumbani kwake kwa maana walisafiri umbali mrefu.
# Alipotazama akaona, natazama, kulikuwa na ngamia wakija!
Hili neno "tazama" hapa linatumasha kusikiliza kwa taarifa ya kushangaza inayofuata. "Alipotazama juu akashangaa kuona ngamia wakija"
# Rebeka akatazama
"Rebeka akatazama juu"
# akaruka kutoka kwenye ngamia
"alishuka juu ya ngamia haraka"
# akachukua shela yake akajifunika
"Kwa hiyo alijifunika uso na shela yake". Hii ni ishara ya heshima na adabu kwa mwanamume atakayemuoa. Maana kamili inaweza kuelezwa wazi.
# shela
Kipande cha kitambaa kilichotumika kufunika kichwa cha mtu, mabega na uso.