forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
473 B
Markdown
29 lines
473 B
Markdown
# Bethueli akawa baba wa Rebeka
|
|
|
|
"Baadae Bethueli akawa baba wa Rebeka"
|
|
|
|
# Hawa walikuwa ni wale watoto wanane ambao Milka alizaa kwa Nahori, ndugu yake na Abraham
|
|
|
|
"hawa walikuwa watoto wanane wa Milka na Nahori, ndugu yake Abrahamu" Hii ina maana ya watoto waliorodheshwa katika 22:20.
|
|
|
|
# nane
|
|
|
|
"8"
|
|
|
|
# Suria wake
|
|
|
|
"Suria wa Nahori"
|
|
|
|
# Reuma
|
|
|
|
Hili ni jina la mwanamke.
|
|
|
|
# pia akamzaa
|
|
|
|
"pia akajifungua"
|
|
|
|
# eba, Gahamu, Tahashi, na Maaka
|
|
|
|
Haya yote ni majina ya wanamume
|
|
|