sw_tn/gen/17/15.md

17 lines
418 B
Markdown

# kwa habari ya Sarai
Maneno "kwa habari ya" zinatambulisha mtu anayefuata ambaye Mungu anamzungumzia.
# nitakupatia mtoto wa kiume kwake
"Nitamfanya azae mtoto kupitia kwake"
# atakuwa mama wa mataifa
"atakuwa mama wa mataifa mengi" au "uzao wake watakuwa mataifa"
# Wafalme wa watu wa mataifa watapatikana kutokana na yeye
"Wafalme wa watu watatokana kwake" au "Baadhi ya uzao wake watakuwa wafalme wa watu"