sw_tn/ezr/08/33.md

422 B

fedha,dhahabu na vyombo vilipimmwa nje

Hii inweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"maofisa kumi na wawili wa kikuhani walipima fedha,dhahabu na vyombo.

waliweza kupima nje...kwamkono wa Meremothi

waliweza kupima nje..kwa mkono wa meremothi

Meremothi...Uriah...Eleazari...Phineasi...Yozabadi...Yoshuhua....Noadia..Binui

Haya ni majina ya wanaume

Yoshua

Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:3