sw_tn/ezr/08/26.md

765 B

650 talanta za fedha

"650 talanta za fedha," Unaweza kuibadilisha hii katika kipimo cha sasa. AT:"22,000 kilogram za fedha" au "ishirini na mbili elfu kilogram za fedha"

talanta mia moja za vyombo vya fedha

Unaweza kubadilisha hii katika kipimo cha sasa. AT:"3,400 kilogram vyombo vya fedha"

talanta mia moja za dhahabu

Unaweza kuibadili hii katika kipimo cha sasa. AT:"3,400 kilogram ya dhahabu"

elfu moja darkoni

"darkoni"ilikuwa ni salafu ndogo ya dhahabu ambayo watu wa utawala uajemi waliitumia. Unaweza kutafsiri kwa idadi ya salafu au kwa uzito wake. AT:"Salafu elfu moja za dhahabu ya Uajemi au "kilogram nane na nusu za dhahabu"

vyombo vilivonakshiwa

Vyombo vilivyonakshiwa ni mchanganyiko wa shaba na chuma. Ina uimara zaidi ya shaba