sw_tn/ezr/08/01.md

1.2 KiB

Taarifa kwa ujumla

Kuna badiliko la umiliki kuanzia hapa. Sura ya 1 - 7 iliandikwa kana kwamba mhusika alikuwa akiandika kuhusu Ezra. Sura ya 8 iliandikwa kana kwamba mhusika ni Ezra

Taarifa kwa ujumla

Mstari 2 - 14 ni orodha ya viongozi na watangulizi wao. Wote walikuwa ni wanaume

mwana wa Finehasi, Gershoni

Hii ni kitu cha kwanza katika orodha. Inaweza kuandikwa pamoja na kitenzi "ilikuwa" AT:"Kiongozi wa wana wa Finehasi alikuwa Gershoni" au "Gershoni alikuwa kiongozi wa wana wa Finehasi"

wana wa Ithamari,Daniel

Hiki ni kitu cha pili katika orodha. Kinaweza kuandikwa kwa kitendo "ilikuwa" AT:"Kiongozi wa wana wa Ithamari alikuwa Daniel" au "Daniel alikuwa kiongozi wa wana wa Ithamari"

Paroshi

Tafsiri jina la huyu mtu kama ulivyofanya katika 2:3

mwana wa Daudi, ambao walikuwa... Paroshi na Zakaria

Hii ni kitu cha tatu katika orodha. inaweza kuandikwa kama kitendo "walikuwa" AT:"Viongozi wa wana wa Daudi walikuwa Hatishu ambaye alikuwa Paroshi na Zakaria" au "Kiongozi wa wana wa Daudi walikuwa Hatishu na Zakaria. Hatishu alikuwa kutoka ...Paroshi"

pamoja na yeye walikuwa 150 wanaume waliorodheshwa katika kumbukumbu ya ukoo.

"pamoja na Zakaria walikuwa 150 wanaume waliorodheshwa katika kumbukumbu ya ukoo"