forked from WA-Catalog/sw_tn
386 B
386 B
Taarifa kwa ujumla
Hii inaendeleza kumbukumbu za mfalme Koreshi kuagiza wayahudi kujenga hekalu la mungu katika Yerusalem, ambayo ilianza katika 6:3.
Tetanai...Shethar Bozenai
Dario anaandika mja kwa moja kwa huyu mtu. Tafsiri majina yao kama katika 5:3
mji ngambo ya mto
Hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi ya mto eflati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa.