948 B
tumekula chumvi ya Ikulu
Maana inayowezekana ni kwamab 1)mwandishi kuwa mtiifu kwa mfalme au 2)mfalme kumpa mwandishi heshima maalum. AT:"sisi ni watiifu kwako" au "umetuheshimu sisi kwa kutufanya kuwa maofisa wako"
mji wa uhalibifu
Mji ni kwa watu ambao wanaishi ndani yake.AT:"mji wanaoishi watu waliopingana dhidi ya baba yako"
mji uliharibiwa
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai, ambapo itakulazimu kutaka kujua nani ambaye akiharibu mji. AT:"Wababeli waliharibu mji"
ikiwa mji huu na ukuta utajengwa
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na ukuta" maneno haya yameonekana katika 4:13
hakuna kitakachokua kimebakia kwa ajili yako
Hii ni kumchanganya na kumfanya mfalme kufikiri kwamba hatakosa fedha nyingi za kodi iwapo wayahudi watampinga.
Mji ngambo ya mto
Hili ni jina la mji ambalo lilikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:(