sw_tn/ezr/02/68.md

366 B

sitini-moja elfu...elfu tano...elfu moja

elfu moja...elfu tano...mia moja** "61,000...5,000...100"

dhahabu za darkoni

"darkoni" ilikuwa ni salafu ndogo ya dhahabu iliyotumika katika utawala wa uajemi

mane

Mane ni kipimo cha uzito. mane moja ni sawa na gramu 550. mane kawaida ilihusishwa na vipimo vya fedha.

mavazi

mavazi yaliyovaliwa juu ya ngozi