Taarifa kwa ujumla
Hii ni orodha ya watu ambao walirudi Israeli kutoka baadhi ya miji ya Babeli lakini hawakuweza kuthibitisha kizazi chao.
Tel-mela,Tel charsha,Kerubu,Adani,na Imeri
ni maeneo katika Babeli ambayo hayapo kwa sasa.
Delaya,Tobia, na Nekoda
majina ya wanaume