Taarifa kwa ujumla
Sehemu hii inaorodhesha majina ya makuhani ambao wana wao walirudi kutoka matekani pamoja na idadi ya kila kikundi.
Yedaya.....Imeri.......Pashuri......Harimu
majina ya wanaume
Yeshua
jina la mtu
Harimu
Harimu 2:31 ni jina la eneo, lakini hapa "Harimu" ni jina la mtu